Habar wana jf.. Nina simu aina ya htc merge ambayo ilianza ghafla kunisumbua.. Nilikua nikiiwasha inaonesha maandishi ya htc then inaishia kuonesha mwanga mweupe.
Nilipeleka kwa fundi akaifomat.. Fundi nae kaifomat ikazima kabisa, akasema ac imekufa na hawez kuipata kirahisi.. So jaman kwa mwenye ujuz naomba anisaidie kama itaweza kupona na inaweza cost sh. Ngapi.. Asanten