Msaada wa matengenezo wa komputa

lemky

Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
80
Reaction score
31
Nina komputa ya HP (desktop) inasumbua kuapdate tarehe na saa , lakini ukiiunganisha ni intaneti hua inajiapdate bila ya hivyo unatakiwa kila unapoiwasha uirekebishe mwenyewe.

Naombeni msaada wa hili tatizo wakuu.
 
Sawa mkuu ,, ngoja tuangalie hili la CMOS battery ,,, maana kila aina ya setting imekataa ...

Hapo ni CMOS battery tu hakuna kingine. Nenda kwa fundi saa tafuta coin cell yenye namba kati ya CR2025 /CR 2032
 
Nina komputa ya HP (desktop) inasumbua kuapdate tarehe na saa , lakini ukiiunganisha ni intaneti hua inajiapdate bila ya hivyo unatakiwa kila unapoiwasha uirekebishe mwenyewe.

Naombeni msaada wa hili tatizo wakuu.
I have the same problem
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…