Nahitaji kununua washing machine kwa ajili ya kufanyia biashara,sasa kampuni ipi mashine zake imara kati ya LG na SUMSUNG,na mwenye kujua zaidi ya hapo.
asante.
Nahitaji kununua washing machine kwa ajili ya kufanyia biashara,sasa kampuni ipi mashine zake imara kati ya LG na SUMSUNG,na mwenye kujua zaidi ya hapo.
asante.
kuwa makini,mashine ya kufulia ya biashara na zile unazoona mlimani city ni tofauti. ukinunua zile za mlimani city za kawaida iwe LG/SAMSUNG itakufa haraka kwa sababu haijawa designed kutumika kibiasha.