Habari za mida hii wanajukwaa.......
Kama kichwa cha habari kinavojieleza naombeni mwenye majina waliochaguliwa kujiunga VETA nikiwa na maana wanaotakiwa kuripot 2019,
Me tatizo linakuja nikiwa naangalia naambiwa server not found so naomba msaada kwa yeyote mwenye hayo majina.
Nawasilisha