Msaada wa luku

Msaada wa luku

Alex Manonga

Senior Member
Joined
Oct 8, 2010
Posts
155
Reaction score
87
Wakuu,

Niliweka luku ya sh 45,000 tarerhe 1 mwezi huu katika nyumba yenye vyumba 4. Jana niliporudi nyumbani usiku umeme ulikuwa umeisha. Je, ni kawaida au luku yangu ni mbovu?
 
Hiyo haiwezi kuwa kaida elfu 45,000 kama nizaidi ya unit 90 hio ruku yako mbovu
 
Ni sawa na mtu anasema amekula chakula cha Tshs. 40,000 lakini hajashiba badala ya kuangalia ni gramu ngapi akila ndio anashiba!
 
Before hujachukua uwamuzi wakuiondoa tafuta mtalam aje aipime na aangalie system nzima ya wireling yawezekana kuna sehemu umeme unavuja kama sio ruku
 
Actualy inategemea na matumizi yako.
Mfano kama vyumba vinne, kila chumba kuna watu wanatumia majiko ya umeme na heaters umeme wa sh elfu45 kuisha ndani ya siku chache ni kawaida sana.
Otherwise, inawezekana either meta ya Luku unayoitumia ni mbovu au kuna tatizo la wiring.
Waone tanesco watakusaidia kwani hilo tatizo ni common sana.
 
Back
Top Bottom