Msaada wa license key za windows 10 pro na office 13 pro plus

Mwana wa Nuru

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2012
Posts
590
Reaction score
415
Ndugu, naomba aliye na hizo product keys anipe kwani nimepigwa na aliyenifanyia software installation, kasema kaweka kumbe hazina hiyo hivyo zina demand ili zioperate.

Asante wadau.
 
Windows 10 pro bei yake ni laki 5
Office 13 pro plus bei yake ni takriban 250,000

Hizo ndio bei za product key, unaweza pata za magumashi lakini hizo ndio official.

Alternative ni kucrack fuata ushauri wa juu.
 
Asante sana.
 
Back
Top Bottom