Wana jamvi laptop yangu aina ya Dell imeanguka chini na nilivoiwasha ikawa haitoi mwanga ila inawaka na unaweza kuitumia wakati wa mchana kukiwa na mwanga wa jua..sasa sijui tatizo hapo n nini?naomben msaada
Inaweza kuwa imeharibika taa..au kuna kitu kinaitwa inveter..ila cna uhakika sana...au ingia google ucjeck mfumo mzima wa laptop..yako...inaweza kukupa mwanga kidogo