Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
tatizo ni hiyo adapta angalia hiyo adapta kama inawaka
Hii adapta haina sign ya kuwaka tokea nianza kuitumia
nikichomeka kwenye power haoneshi kama moto umeingia au la
Naweza pate wapi adapter mpya hapa Dar es salaam ili nijaribu?
sitaki kupeleka laptop yangu kwa mafundi maana wataiaribu zaidi
nataka nijaribu mwenyewe kwanza

WanaJf naomba msaada wenu, kabla ya hayo nalipongeza hili jukwaa la Tech kwa

kutoa msaada mkubwa kwa Jamii

Mimi nina laptop ndogo yangu ya Acer( mfano wake kama hapo chini) nimetumia hii laptop kwa mwaka tokea niletewe na ndugu yangu

last week imeanza kuniletea matatizo nikiweka kwenye power hawezi kucharge mpaka sasa reserve ya bettary iliyokuwa nayo imeisha

siwezi kuwasha tena, nikitoa bettary na kuchomeka kwenye soketi moto hauingii.

Msaada jamani

Tatizo ni battery au wire wa kuconnect kwenye power?

wapi wanauza spare kama tatizo ndo hilo?

Kwanza pole,
Pili, unaweza kujaribu repair ya adapter. Uwezekano mkubwa ni tatizo la cable yaweza kuwa imekatika ndani kwa ndani sababu ya kunja-kunjua.
Lakini pia umeme usioaminika na matumizi ya generator zisizo na kiwango yanaweza sababisha adapter kuungua. Utaipeleka kwa fundi apime output kama ipo au la, kisha atakushauri kinachowezekana. Bado wapo mafundi wenye ujuzi wa kutosha na pia ni waaminifu. Kwa Dar unaweza kumtafuta Msamba pale KVD, Makweta wa pale Namanga jirani na BMK, Mbuya wa 3H Lumumba n.k.
Tatu, unaweza jaribu kupata adapter mpya pale KVD, na hii itaokoa muda.
mamatibwita hope tibwita ni mzima
Je hiyo acer ni model gani ili tuchungulie huku kwenye internet technical specs zake na za adaptor zake na mambo mengineyo kama manual yake.
Mfano Tatizo lolote la kiufundi la kifaa chochote kama una utundu kidogo basi kimbilio la kwanza nenda kwenye tovuti ya watengenzaji.. Kwa case yako wewe ni Acer.com Worldwide - Select your local country or region . Ukiwa huko unaweza kupata manual ya laptop yako amabayo ukisoma utajua jinsi ya kuanisha nini hasa chanzo cha tatizo.
Kama vipi mwaga data zaidi hapa tukusaidie ku google naukupa ushauri zaidi.
Asante sana mtazamaji nitakupa more details soon
maana laptop iko uswahilini kwetu
Nitaomba msaada wako maana nikiwa home
siwezi kufanya kazi kwa kutumia net
Ok maana usikimbiliekununua adaptorunaweza ukanunua dadaptormpyauakuta bado kuna tatizo. may be nipowe supply ndaniya maotherboard ina mushkeri .
La sivyo ukitaka kununua Power adaptor nenda na hiyo laptop wanapoouza hizo power adaptor kabla ya kununua waambie wajaribishe kwenye laptop yako .
Laptop ikiwaka basi tatizon ni ilikuwa ni powe adaptor . ikigoma kuwaka basi tatizo ni ndani ya laptop probabaly Power IC au power suply inasyosambaza moto kwenye mother board imeroga.
Hi itakusaidia kuondoa bahati nasibu ya kununua kitu ambacho inawezekana sio tatizo
Au kama kuna futari kwako nialike nije kuicheki fasta teh teh teh teh
Asante mtazamaji
sijui kama hizi details ni zenyewe
Mfr.name: Delta Electronics LTD
A/S Center (82)2-515-5305
unaweza kunielekeza wapi dar naweza kwenda kutest kwa kununua adaptor?
msaada jamani