Msaada wa laptop please!!!

Msaada wa laptop please!!!

SangaweJr

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
2,990
Reaction score
2,669
Habari wanajukwaa, kichwa cha habari hapo juu cha husika, nina laptop aina ya dell lat. D630 ina switch ya wireless (wi fi na bluetooth) lakini software zake hazipo. Msaada tafadhali namna ya kupata bluetooth software ambayo naweza connect na simu nitumie kama modem.
 
Software zake hazipo kivipi yani ?

Na unatumia windows gani ?
 
Natumia window xp mkuu, yan switch ipo ila hakuna program yake
 
Back
Top Bottom