Mambo vipi wakuu..
Nahitaji laptop nzuri kwa ajili ya matumizi mbali mbali. Sasa nimeziona HP pavilion na hp elite book series, sasa nauliza ni nzuri?
Mimi ni mtu wa internet sana huwa napenda kushusha files kubwa, napenda pia games kama far cry, battle field na call of duty hivyo nafikiria laptop ya kufanya mambo yote haya. Naomba mwanga wa laptop itayokua at least inafaa.