Asu tz JF-Expert Member Joined Dec 10, 2011 Posts 336 Reaction score 86 Aug 3, 2014 #1 habar wana jf? samahan wakuu na natumia pc aina ya hp, tatizo lake kubwa n kwenye keybord unapotype heruf O inaandika "q qerwiuPO" na unapotype heruf L inafungua Mozilla natumia window 8 wakuu
habar wana jf? samahan wakuu na natumia pc aina ya hp, tatizo lake kubwa n kwenye keybord unapotype heruf O inaandika "q qerwiuPO" na unapotype heruf L inafungua Mozilla natumia window 8 wakuu