Msaada wa kuunlock huawei e303

Msaada wa kuunlock huawei e303

PRO12

Member
Joined
Aug 6, 2016
Posts
11
Reaction score
3
Mimi natumia modem ya tigo huawei e303 nimejalibu kui unlock iwe inatumia mitandao yote nimeshidwa.

Kwa anaejua naomba anisadie maana nimeteseka kweli.
Huawei-E303.png
Huawei-E303.png
 
wat z important to note co tigo ni Model number hiyo ambayo itakusaidia kupata firmware ya modem ilokuwa unlocked then utatumia qpst kufanya back up yak ili ata ukikosea ukaiua uwez kuirudisha ftom its origin then unatakiwa iangalje company gan inetengemezwa il udownload appropriate software ya ku badilishia io firmware ilopo locked nakuiwekea firmware ilopo unlocked io ni njia ndef kdogo but as long as unatafta shortkut way kuna software za ku unlock 1 kwa 1 but kupata ilopo free n kaz kidogo#
 
model no ni e303
 
wadaaaaaaaaaau mje aisee mimi mwenyewe imening'ang'ania sana hili modem halitaki kufunguka aiseee mjeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom