Msaada wa kuunga modem kwenye window 7

Msaada wa kuunga modem kwenye window 7

OSAM

Member
Joined
May 14, 2011
Posts
31
Reaction score
3
Ninaomba mnisaidie namna ya kutatua tatizo kila nikiunga Modem yangu kwenye computer yangu inaleta msg km inavyoonekana kwenye picha.
Asanteni sana wadau.
 

Attachments

  • Publication1.jpg
    Publication1.jpg
    31.3 KB · Views: 52
jaribu ku uninstall the software na hardware na u install upya then angalia matokeo
 
reinstal the software.try to use different Usb port.
 
Back
Top Bottom