Alexander McQueen
Senior Member
- Aug 30, 2016
- 186
- 41
Jamani habari za wakati wana jf nimeibiwa cm Aina ya TECNO K7 fingerprint na IMEI ya hiyo cm ipo nifanyenyeje msaada tafadhari?
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂Kwa tecno labda auziwe fara ndio utaipata inauma lakini ndio ukweli
😂 😂 😂 😂Ata police wata kushangaa





Anayo kwenye kidoleFingerprint yake inayo wap mzee
Labda umemaanisha android maana kila android inaweza kubadilishwa imeiKwa tecno labda auziwe fara ndio utaipata inauma lakini ndio ukweli
Nenda police karipoti.Jamani habari za wakati wana jf nimeibiwa cm Aina ya TECNO K7 fingerprint na IMEI ya hiyo cm ipo nifanyenyeje msaada tafadhari?
polisi wanazingua kna jamaa lang kaibiwa laptop wanaxma ip address zinahtajka kawapatia ila bado ni miyeyusho tu inaelekea mweziNenda police karipoti.
Ingawa uwe na moyo juu ya gharama. Hazitabiriki.
Kama uko vizuri si ununue nyingine tu
Ahahaaaa jamaniAnayo kwenye kidole