Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,908
- 8,996
Je naweza fanya kitu gani kuweza kumaliza hili tatizo??
Usishushe window chini...CLEAN YOUR INFECTED OS then anza maisha upya..usipende kupiga piga window mashine..only solution itayokufanya upige window mashine yako ni kama tu ITAKUGOMEA KUWAKA kutokana na HARD DISK ERROR na si vinginevyo.
Kama mashine inawaka ina maliza shida ni virus JUST CLEAN THEM...
narudia tena
Usipige window ovyo mashine kwasababu tu unaweza na ni rahisi...kuna njia za kusolve mashine nyingi sana kabla ya kufikia last option ya kupiga window.
RAM HAINA UHUSIANO NA HILO NENO disk error SO either fundi kashakuchomolea ram anataka akuuzie ram yako mwenyewe au amekubadilishia na atakuuzia wewe mwenyewe.Mimi yangu ilianza yenyewe kuandika Disc error baadae nikapeleka kwa fundi ameniambia RAM hakuna hii ikoje kiongozi
Huyo fundi anataka kukupiga.Mimi yangu ilianza yenyewe kuandika Disc error baadae nikapeleka kwa fundi ameniambia RAM hakuna hii ikoje kiongozi