Msaada wa kusitisha 15544.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,711
Reaction score
1,738
Wakuu, naomba msaada wa kusitisha jumbe ninazoletewa na Vodacom kupitia 15544. Tokea nikatushwe tamaa na mbinu za kupata pesa za makampuni haya ya cm ya kujibu maswali kupitia Airtel SITAKI kabisa kusikia mchezo huo mchafu.
Sasa natafuta namna ya kusitisha hiyo namba maana kila niwekapo vocha Basi ndo jumbe lukuki napata wakati sifanyi chochote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ABDIKA NENO " ONDOA" halafu tuma kwenda namba hiyo 15544 uliyo iandika hapo juu
 
POLISI nao ******* sikuizi wanasumbua na sms zao, mi nilijua ni BIKO tu
Kuna dada alipelekewa wito wa kuitwa mahakamani kutoa ushahidi. Asubuhi akijiandaa ikaja msg imeandikwa polisi na pressure ikapanda hapo hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…