Kwanza usituharibia lugha, ni kusainiwa sio kusigniwa.
Pamoja na kusoma law xul bado unahitaji kuelekezwa kwa advocate? Law xul yenyewe ina waalimu ambao ni advocates kwa zaidi ya miaka hyo mitano, sasa sijui unatafuta nn huku.
Hilo wenge la ku clear aisee!!