Naomba msaada,mimi ni dereva naomba mtu anayeweza kuniunganisha na kampuni za utoaji na usafirishaji magari paka tunduma. Nina uzoefu wa kusafiri
DAR-MBEYA,DAR - IRINGA,DAR - MTWARA,DAR - TANGA [mara kwa mara zaidi ya miaka 2 sasa ]
Natanguliza shukrani zangu.