Msaada wa kuroot tecno w4 marshmallow 6.0

minjapeter

Member
Joined
Sep 19, 2017
Posts
14
Reaction score
1
Wakuu naombeni msaada juu ya kuroot tecno w4 maan kwa one click root kma kingroot zimegoma aseee.....ko tukiachana na kuroot kwa pc utaalam upi natumia kuroot hii Android.......maan cna pc
 
Ngoja waje wataalam wa kuroot 6.0 marshmallow bila kutumia PC,kama wapo.
 
Simple sana ka kumsukuma mlevi, but ni risk sana kama ukiwa careless unaweza sababisha simu yako iwe na bootloop au kutokuwaka kabisa mpaka uiflash kwa stock firmware, Tafuta Custom Recovery ya sim yako Google pamoja na SuperSU flash zip file, ambayo saizi ni latest SuperSU.zip_2.8, hii SuperSu weka kote kwenye SD card na Internal storage,,,, Sasa ka una stock ROM ya sim yako chukua(Copy) Scatter file na Preloader na Custom Recovery yako then weka kwenye folder moja kwa desktop, Nina assume unaijua SP Flash Tool,,,,ifungue SP flash tool then tafuta load scatter file kisha chagua scatter ulosave kwenye folder lako kwa desktop kisha itakua loaded kwa SP tool then just make sure umeweka tick kwenye partition moja tu ya Recovery (Usitick Preloader!!) then flash, ikishakua done! Boot sim yako kwenye recovery by holding Volume up button plus power button simultaneously na release power button uku ume hold volume UP button, W4 yako itawakia kwenye Custom Recovery ya TWRP, chagua install na itakudirect kwenye storage za sim yako ani internal storage na SD card asa we chagua wapi ulipoiweka SuperSU.zip yako then swip right to flash ukimaliza don't do anything! We boot sim yako kama kawa! Hongera hapo utakua umeroot kinamna ivo ani... Sorry nmeandika maelezo mengi sana ya kuchosha lakini ndio ilivyo kuroot most of mtk devices with android 6.0 Marshallow... Huitaji ku unlock bootloader kama una Custom Recovery tu ya sim yako, Preloader na Scatter file ya Stock ROM yako...
 
Download Root checker ili u verify root kwa sim tecno W4 yako kutoka PlayStore....
 
Watu ka nyie tz mpo wachache sana, unamsaidia mtu ka umepewa hela? Big up sana mkuu
 
iv ndo hzi tecno w4 betri yke sio removable au au betri yke inatoka km kawaida
 
Back
Top Bottom