Habari wote mliopo humu.
Kwa wajuzi wote wa wa simu nawaombeni msaada wa kurekebisha simu yangu ya Nokia lumia 630. Tatizo ni airplain(flight mode) imekataa kutoka na ninapo jaribu kuiweka Off airplan simu inachemuka sana na imesababisha siku hizi nikiwa naichaji simu inajiwasha direct bila hata kuiwasha sijui tatizo itakuwa ninin? Mafundi wa wilaya ninayotoka wameshindwa wote