habari za muda huu wana jamvi hope mko poa, kama nlvotangulia kusema hapo juu naomba mnisaidie kupata ile link ya kurejesha contacts zilzopotea maana nimejitahidi sana kuusaka ule uzi humu lakini sikufanikiwa nikaona itakuwa vyema kama nitalisogeza kwenu