Msaada wa kupungua Uzito wa Mwili

Msaada wa kupungua Uzito wa Mwili

baharia 1

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2019
Posts
1,778
Reaction score
2,052
.
 

Attachments

  • IMG_20230604_194504_360.jpg
    IMG_20230604_194504_360.jpg
    31.2 KB · Views: 35
Chemsha mdalasini mpaka ubadilike kama chai ya rangi kunywa asubuhi na jioni.

Kuna mdalasini wa unga na magome

Usiweke sukari

Unaharufu Kali hivyo ukinywa Minya pua, ili usijekinai...

Mi ninakamwili fulani hivi...
 
Baki hivyo hivyo ujiandae kulea watoto wa wanaume wenzio. Kimoja chali
 
Back
Top Bottom