Msaada wa kupima umeme

Msaada wa kupima umeme

emmauel

Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
30
Reaction score
3
Jamani naomba msaada wa kufahamu no apk gani inayotumika kupima kiwango cha umeme kinachoingia kwenye simu?
 
Ni android au? nenda setting then battery itakuonesha kama una chaji kwa ac au dc pia kiwango kitawekwa au soma chaji yako wameandika ila tu kwa cm mara nyingi ni 5V haizidi 10V
 
Download app inaitwa ampere iko playstore itakuonesha details zote kuhusu power supply
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom