Msaada wa kupiga window

Jr Magwila

Member
Joined
Oct 31, 2017
Posts
11
Reaction score
6
Naomba kuelekezwa jinsi ya kupiga window, napata wateja wengi wakiamini naweza kufanya ila siwezi. Sina ujuzi na hii ishu, now nahitaji kubobea sana. nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuelekezwa jinsi ya kupiga window, napata wateja wengi wakiamini naweza kufanya ila siwezi. Sina ujuzi na hii ishu, now nahitaji kubobea sana. nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app

labda nikupe kaushauri kadogo kaumasikini labda:
baada ya kupitia youtube somo la kuinstall window

anza hapa:
shusha window 7/8/10 na ms office.
na programs muhimu zinazo hitajika ktk laptop uziweke teyari ktk usb....

walimu watakueleza Zaidi tusubiri
 
mkuu naomba link ya kudownload hizo window
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…