Official Bindira
Member
- Jun 2, 2017
- 33
- 16
Habari zenu wadau naombeni msaada anaweza kuweka window kwenye computer ya Macbook Pro anisaidie nitatoa offer. Anitafute kwa namba hii 0788488928, msaada tafadhali napatikana pande za Dar
Habari zenu wadau naombeni msaada anaweza kuweka window kwenye computer ya Macbook Pro anisaidie nitatoa offer.....anitafute kwa namba hii 0788488928 msaada tafadhali napatikana pande za Dar
Karib
mr town mouse ....click...click. the city
Naomba ufafafanuzi hapoBootcamp ndi mwisho wa matatizo
Hii inakuwa kama emuletor ya OS moja kwenye Os nyingine
Note. U may experience inconvinience and low performance in some serious tasks
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu wadau naombeni msaada anaweza kuweka window kwenye computer ya Macbook Pro anisaidie nitatoa offer. Anitafute kwa namba hii 0788488928, msaada tafadhali napatikana pande za Dar
weka namba upo wapiUmefanikiwa unisaidie na mimi
vipi kuhusu Mac OS kuweka kwenye window based pc?Bootcamp ndi mwisho wa matatizo
Hii inakuwa kama emuletor ya OS moja kwenye Os nyingine
Note. U may experience inconvinience and low performance in some serious tasks
Sent using Jamii Forums mobile app
vipi kuhusu IOS kuweka kwenye window based pc?
vipi kuhusu IOS kuweka kwenye window based pc?
haiwezekani na haitatokeaHii kitu sijawahi ona
duh, nishawai kuona tutorial moja sijui ni forum gani nikajua inawezekanahaitatokea
Inawezekana ila mlolongo na masharti yake ni marefu sana nikama kuchapa firmware kwa x-1vipi kuhusu IOS kuweka kwenye window based pc?
kila nikifanya naferi sijawahi fanikiwa kabisa ni ngumu kuwezekanaInawezekana ila mlolongo na masharti yake ni marefu sana nikama kuchapa firmware kwa x-1