K kaka miye Senior Member Joined Sep 25, 2011 Posts 172 Reaction score 42 Jun 21, 2014 #1 Nina laptop yangu inashindwa kucheza youtube picha nifanye nini naomba msaada sio mzoefu sana wa kompyuta
Nina laptop yangu inashindwa kucheza youtube picha nifanye nini naomba msaada sio mzoefu sana wa kompyuta
kahtaan JF-Expert Member Joined Jul 11, 2009 Posts 19,156 Reaction score 11,608 Jun 21, 2014 #2 Mkuu hili jukwaa la sheria, hio laptop mbovu inatafuta nini humu? Peleka kwa mafundi njaa huko kwenye jukwaa lao. Hapa ni mahala pa kuumiza kichwa kufikiri kidogo!
Mkuu hili jukwaa la sheria, hio laptop mbovu inatafuta nini humu? Peleka kwa mafundi njaa huko kwenye jukwaa lao. Hapa ni mahala pa kuumiza kichwa kufikiri kidogo!
phil_kabuje Member Joined Mar 27, 2014 Posts 67 Reaction score 73 Jun 21, 2014 #3 download adobe flash player itakuwa ndo shida