Msaada wa kupata ya mawasiliano ya shule

amigod

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2018
Posts
345
Reaction score
264
Shule ya NYANTAKARA iliyopo mkoa kagera wilaya Biharamulo.

Salaam wana jf wote popote mlipo.

Nipo mkoa wa pwani naomba kwa yeyote anayeufahamu mawasiliano ya shule tajwa hapo anisaidie kupata kwani wizara imetoa siku ya mwisho kuthibitisha kuwepo kuwa ni tarehe 9/6 baada ya hapo nafasi zitajazwa sasa nipo mbali naomba msaada niweze kupata mawasiliano ya wao iwe mwalimu au mtu yeyote aliyepo jirani na shule

Natanguliza shukrani zangu kwenu.

Kwa aliyesoma pale mzazi/mlezi au mwalimu naomba sana msaada huo
 
Haya maswala ya kuthibitisha mnayatoa wapi .
Shule zinafunguliwa tarehe 8/7/2014 ,siku 14 baada ya hapo nafasi atapangiwa mwingine kama mwanafunzi hatafika shulen kureport .
Wanaothibitisha ni wale waliochaguliwa vyuo.
 
Aksante mkuu kwa taarifa hili jambo limenivuruga sana ndipo nikaomba msaada huku kwa kuwa sina uelewa wa kutosha
 
Wewe fanya mpango wa kupata joining instruction ili uendelee kujiandaa pole pole .
Ukinunua vifaa na maitaji muhimu .
Tambua kuwa elimu siyo bure Form five
 
Hahaha hapanaa kak usibitisho unanza tareh 9 mwez wa 6 so kuna tovotii wametoaa tamisemi itakayotumika kuthibitisha so uspanic nenda intarnent cafe iliyokalibu naeee jumatatu ukathibitishee
Shule ya NYANTAKARA iliyopo mkoa kagera wilaya biharamulo
Salaam wana jf wote popote mlipo
Nipo mkoa wa pwani naomba kwa yeyote anayeufahamu mawasiliano ya shule tajwa hapo anisaidie kupata kwani wizara imetoa siku ya mwisho kuthibitisha kuwepo kuwa ni tarehe 9/6 baada ya hapo nafasi zitajazwa sasa nipo mbali naomba msaada niweze kupata mawasiliano ya wao iwe mwalimu au mtu yeyote aliyepo jirani na shule
Natanguliza shukrani zangu kwenu
Kwa aliyesoma pale mzazi/mlezi au mwalimu naomba sana msaada huo
 
Haya maswala ya kuthibitisha mnayatoa wapi .
Shule zinafunguliwa tarehe 8/7/2014 ,siku 14 baada ya hapo nafasi atapangiwa mwingine kama mwanafunzi hatafika shulen kureport .
Wanaothibitisha ni wale waliochaguliwa vyuo.
Oooy niaje
 
Linii tunanzaa uthibito kwa wale wavyuoniii
Nimekuwekea tangazo
FB_IMG_1559655442251.jpeg
 
Hiviii. Naweza badirisha chuo kotoka cha mipango kwenda clinical off wakakubaliii
Nijuavyo mimi kama ulisoma masomo ya sayansi unaweza kubadili kama ulisoma ya biashara huwezi kubadili kwenda clinical hawatakubali
 
Nimesomeaa sayansi miee so walinichaguaa chuo cha mipango Dodoma lakin nataka kubadil
Nijuavyo mimi kama ulisoma masomo ya sayansi unaweza kubadili kama ulisoma ya biashara huwezi kubadili kwenda clinical hawatakubali
 
Haya maswala ya kuthibitisha mnayatoa wapi .
Shule zinafunguliwa tarehe 8/7/2014 ,siku 14 baada ya hapo nafasi atapangiwa mwingine kama mwanafunzi hatafika shulen kureport .
Wanaothibitisha ni wale waliochaguliwa vyuo.
Wabathibitisha kupitia tovuti au vp,,,,.
Msaada pleas katika hili
 
Back
Top Bottom