Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,468 Reaction score 46,273 Feb 3, 2014 #1 Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,nina shida sana na hii Tamthiliya ya La Revenge iliyotikisa Bongo miaka kadhaa iliyopita,mwenye nayo au kujua jinsi ya kuipakua aniambie.
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,nina shida sana na hii Tamthiliya ya La Revenge iliyotikisa Bongo miaka kadhaa iliyopita,mwenye nayo au kujua jinsi ya kuipakua aniambie.
gango2 JF-Expert Member Joined Aug 31, 2011 Posts 1,958 Reaction score 2,292 Feb 3, 2014 #2 mjomba si kanunue CD tu bana, au unataka za kudownload!
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,468 Reaction score 46,273 Feb 3, 2014 Thread starter #3 gango2 said: mjomba si kanunue CD tu bana, au unataka za kudownload! Click to expand... Kama ningepata za kudownload ingekuwa poa zaidi cause hizi CD unaweza kununua mwishoni ukakosa part fulani so inakuwa haina maana.
gango2 said: mjomba si kanunue CD tu bana, au unataka za kudownload! Click to expand... Kama ningepata za kudownload ingekuwa poa zaidi cause hizi CD unaweza kununua mwishoni ukakosa part fulani so inakuwa haina maana.