Daah elimu yetu taabani. Yaani huyu mhitimu hata kujieleza ni kazi. Scholarships utazisikia kwa wenzioHAbar wana jukwaa mm ni muhitim nna shahada ya elimu .ninahitaji kupata udhamini wa kwenda kusoma digrii ya pili katika nchi yoyoye ile au hata apa tanzania .lkn shida ni namna gani nna weza kuoata izo nafasi za kudhaminiwa katika nchi mbali mbali km vile denmark,norway na zingine .mwenye kufaham anicheki kwa sms 0754046326
Daah elimu yetu taabani. Yaani huyu mhitimu hata kujieleza ni kazi. Scholarships utazisikia kwa wenzio
Scholarship limetoholewa kwenye neno "scholar" sasa jitu hata kujieleza haliwezi halafu linategemea lipate scholarship kirahisi tu. Ujinga mzigo aseeIngekua vyema kama ungempatia msaada wa maelezo Kwa mujibu wa shida yake na sio kujengea hoja juu ya elimu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hapo umemsaidia nn kati yako na yeye nan anaonekana mjinga katika maisha haya unatakiwa ujue kwamba huwez kujua kila kitu yy anaomba kusaidiwa we unamjibu ovyo it seems thinking capacity yako n ndogo au naeza kusema unajibu kwa mihemkoScholarship limetoholewa kwenye neno "scholar" sasa jitu hata kujieleza haliwezi halafu linategemea lipate scholarship kirahisi tu. Ujinga mzigo asee
Usitetee ujinga graduate asiyejua kuomba scholarship? Alivyo mweupe kashajichagulia na nchi za kupata hiyo scholarship. Wasomi mnatuaibishaSasa hapo umemsaidia nn kati yako na yeye nan anaonekana mjinga katika maisha haya unatakiwa ujue kwamba huwez kujua kila kitu yy anaomba kusaidiwa we unamjibu ovyo it seems thinking capacity yako n ndogo au naeza kusema unajibu kwa mihemko
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaan point n kwamba kuliko kuanza kuanza kuhemka n bora ungsaidia kataaa kubal we ndo unaonekana mjingaUsitetee ujinga graduate asiyejua kuomba scholarship? Alivyo mweupe kashajichagulia na nchi za kupata hiyo scholarship. Wasomi mnatuaibisha
Basi km ww unajua unge saidia lkn unapopiga yowe km izo ni kazi bure km huna msaada kausha wapo walio ni in box mambo yameenda poaUsitetee ujinga graduate asiyejua kuomba scholarship? Alivyo mweupe kashajichagulia na nchi za kupata hiyo scholarship. Wasomi mnatuaibisha