lovely love JF-Expert Member Joined Dec 11, 2013 Posts 344 Reaction score 300 Oct 19, 2021 #1 Habari wakuu, Nauliza wapi kwa Dar naweza kupata physiotherapist anaefanya home visitation..Nina mgonjwa wa miguu ambae nahitaji huduma akiwa nyumbani. Shukrani.
Habari wakuu, Nauliza wapi kwa Dar naweza kupata physiotherapist anaefanya home visitation..Nina mgonjwa wa miguu ambae nahitaji huduma akiwa nyumbani. Shukrani.
T THE FREE Member Joined Sep 20, 2015 Posts 77 Reaction score 30 Oct 19, 2021 #2 Nenda hospital huko utakutana nao na watakupa mwongozo mzuri zaidi