Msaada wa kupata password za gmail account yangu

Jumaa gosso

Senior Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
188
Reaction score
127
Habari wana JF......

Kuna tatizo kwenye simu yangu ambayo nimeireboot baada ya kuireboot inataka google account ya zamani ila nimeingiza email lakini password nimezisahau na siwezi kuona mafail mpaka niweke google account ya zamani ndo simu yangu irudi katika hali ya kawaida naombeni msaada wenu jinsi ya kulitatua hili tatizo.



Jinsi inavyokuwa ndo hivyo siwezi kufany chochote

Mwenye maujanja msaada plz
 
Kama uko dar njoo karikoo kesho.Nitakusaidia mkuu.0754604567 whatspp.Call

Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
 
Search YouTube how to bypass google account

Sent from my itel S31 using JamiiForums mobile app
 
N2 inataka email ya zaman sababu mwanzo iliwekwa so tatzo la simu nying za Android 6 hasa N2 kam uliinunua mkonon na ukitaka kuirestore inataka mail iliyokuwepo,so kam umesahau codes ndio tatizo linakua kubwa zaid. So chakuganya inaonekana ukibonyeza hapa kwenye yellow arrow itakuambia waiting for Wifi,itakaa hapo hata masaa 48 haiendelei,so cha kufanya kam umeshindwa kukumbuka codes zako nenda kaiflash,haina ujanja mwngine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…