TheGodfather95
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 1,763
- 1,834
Wakuu salama..
Bila kupoteza mda kijana wenu na matatizo makubwa sio kwamba naumwa no niko mzima Wa afya.
Tatizo nalopitia ni kufanya mambo yanakwama kila napojitahidi nakwama kama kijana ambaye na ndoto nyingi hii hali inanitatiza na kunifanya nijihisi mnyonge.
Binafsi nimejaribu washirikisha watu tofauti juu ya hili na wakanipa njia za kupita ila kabla ya kupita huko nimeona kwanza nipige goti kwa muumba.
Naomba msaada wa mtu anayejua mchungaji anaye ombea watu wenye matatizo mbalimbali ili niondokane na kifungo hiki...
NB:nipo Dar es salaam mwenye msaada naomba ni PM.
Ushauri Mzuri.Imani yako ikoje?? Usije hangaisha watu wakuombee kumbe una imani haba mkuu, na pia funga na kuomba kwa dhati Mungu hujibu kila goti lipigwalo kwa muda autakao na ambao ni sahihi kwako, kazana kupambana usikate tamaa amini ipo siku milango ya riziki itafunguka
NENDA KWA MWAMPOSA, KESHO ANAMAOMBEZI PALE KAWE VIWANJA VYA T.PACKERS. YOTE YATAKWISHA.Wakuu salama..
Bila kupoteza mda kijana wenu na matatizo makubwa sio kwamba naumwa no niko mzima Wa afya.
Tatizo nalopitia ni kufanya mambo yanakwama kila napojitahidi nakwama kama kijana ambaye na ndoto nyingi hii hali inanitatiza na kunifanya nijihisi mnyonge.
Binafsi nimejaribu washirikisha watu tofauti juu ya hili na wakanipa njia za kupita ila kabla ya kupita huko nimeona kwanza nipige goti kwa muumba.
Naomba msaada wa mtu anayejua mchungaji anaye ombea watu wenye matatizo mbalimbali ili niondokane na kifungo hiki...
NB:nipo Dar es salaam mwenye msaada naomba ni PM.
Mkuu imani ninayo hujui tu nimevumilia vikwazo vingi kila nikija ivi nafeli....Imani yako ikoje?? Usije hangaisha watu wakuombee kumbe una imani haba mkuu, na pia funga na kuomba kwa dhati Mungu hujibu kila goti lipigwalo kwa muda autakao na ambao ni sahihi kwako, kazana kupambana usikate tamaa amini ipo siku milango ya riziki itafunguka
Aksante mkuuNENDA KWA MWAMPOSA, KESHO ANAMAOMBEZI PALE KAWE VIWANJA VYA T.PACKERS. YOTE YATAKWISHA.
Wakuu salama..
Bila kupoteza mda kijana wenu na matatizo makubwa sio kwamba naumwa no niko mzima Wa afya.
Tatizo nalopitia ni kufanya mambo yanakwama kila napojitahidi nakwama kama kijana ambaye na ndoto nyingi hii hali inanitatiza na kunifanya nijihisi mnyonge.
Binafsi nimejaribu washirikisha watu tofauti juu ya hili na wakanipa njia za kupita ila kabla ya kupita huko nimeona kwanza nipige goti kwa muumba.
Naomba msaada wa mtu anayejua mchungaji anaye ombea watu wenye matatizo mbalimbali ili niondokane na kifungo hiki...
NB:nipo Dar es salaam mwenye msaada naomba ni PM.
AmenPole sana mwanangu. Mungu akufungulie milango iliyofungwa katika Jina la Yesu. Nenda ibadani, uwasaidie wahitaji bila kusahau kutoa fungu la kumi.
Sawa mkuuKimbia kivule matembele ya pili WRM Prophet Suguye
Vikwazo n kipimp cha imani yako na akili yako, mafanikio hayaji kwa kuteremka tu kuna milima mabonde mvua na jua dhiki na faraja stahmili kua na heshima na mwenendo wa maisha yako, usisahau Mungu ndio muumba wa vitu vyote na ameshamkadiria kila mja wake riziki yake had pale amal au matendo yake yatakapokatika na kuondoka duniani, binadam tuna haraka sana wewe unataka ufanikiwe sababu umepambana kwa mwaka tu mfano wengine wanahangaika miaka na miaka na bado hawakat tamaa, hold on Allah isnt finished with you yet, have faith kila jambo litakaa sawa.Mkuu imani ninayo hujui tu nimevumilia vikwazo vingi kila nikija ivi nafeli....
Mbali sana huko loliKimbia kivule matembele ya pili WRM Prophet Suguye
Tupo pamojaUshauri Mzuri.
Miaka 23 mkuuUna umri gani?
Ebu tuanzie hapo kwanza
Kweli aseeeMbali sana huko loli
Aksante Madame SVikwazo n kipimp cha imani yako na akili yako, mafanikio hayaji kwa kuteremka tu kuna milima mabonde mvua na jua dhiki na faraja stahmili kua na heshima na mwenendo wa maisha yako, usisahau Mungu ndio muumba wa vitu vyote na ameshamkadiria kila mja wake riziki yake had pale amal au matendo yake yatakapokatika na kuondoka duniani, binadam tuna haraka sana wewe unataka ufanikiwe sababu umepambana kwa mwaka tu mfano wengine wanahangaika miaka na miaka na bado hawakat tamaa, hold on Allah isnt finished with you yet, have faith kila jambo litakaa sawa.
Okay, nimegundua una haraka ya mafanikio wakati haujui ufanye nini ili ufanikiweMiaka 23 mkuu