Wakuu habari..
Kuna mtu anaweza kunisaidia kupata IMEI No, za cm yangu android
Maana siku Zi save popote... Na simu imeibiwa.. so nataka ku track nijue , ipo wapi, na nimpate aliye chukua.
Kama utaweza, naomba msaada, tutaangalia tunapozanaje
0742596431