Msaada wa kupata fundi simu mzuri wa software

chipalila1

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
259
Reaction score
32
simu yangu imezingua baada ya jaribio la kuiroot haiwaki inaishia kwenye logo, naomba msaada mwenye contact za Fundi mzuri atakaye nitatulia hili tatizo, pia kama kuna fundi kwenye jukwaa hili unaweza kuni pm ili tuweze kuwasiliana.
Natanguliza shukrani.
 
Mkuu umefanikiwa? Kama bado ni PM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…