Nipo Mwanza Nyegezi, Natafuta CPU Used iwe na processor dual core angalau kuanzia 2.4 disc angalau 120 nakuendelea.
Mwenye nayo nicheki kwa 0769015725.
Kuna tofauti gani kati ya processor na cpu?
Nipo Mwanza Nyegezi, Natafuta CPU Used iwe na processor dual core angalau kuanzia 2.4 disc angalau 120 nakuendelea.
Mwenye nayo nicheki kwa 0769015725.
hakuna tofauto
sema unatafuta desktop computer cpu ni kifaa kilichoko ndani ya computer kwa jina jingine inaitwa processor