Wakuu ni matumaini yangu mko salama,
Natambua JF ni platform ambayo inakukutanisha na kila aina ya watu ikiwa ni kimawazo au kwa misaada mingine mbalimbali.
Nirejee kwenye mada halisi. Nimekuja kwenu kuomba kazi ya ukaguzi wa ndani/internal auditing specifically kwenye microfinance au saccos kama ambavyo miongozo imekuwa ikitolewa na Regulator (BOT).
Hivyo basi, kwa mtu mwenye connections naomba anisaidie niweze kupata au pia ningepata lists ya microfinance na saccos zikiwa na contacts zao nitashukuru pia. Binafsi ni mzoefu wa ukaguzi wa ndani/internal auditor kwa miaka4 hadi sasa.
Kwa mtu aliewilling kunisave kwenye hili naomba aniPM kwaajili ya contacts.
Natanguliza shukrani zangu kwenu.