Kama kilipotea nenda baraza watakupa cheti cha mbadala kwa malipo lknHabari zenu wanna jf.
Nina diploma ya accounting nimepata kazi ila sina cheti cha form four. Mwenye mdada ninapoweza kukipata anijulishe plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaelewa huna cheti cha form 4 ulisomaje diploma???Habari zenu wanna jf.
Nina diploma ya accounting nimepata kazi ila sina cheti cha form four. Mwenye mdada ninapoweza kukipata anijulishe plz
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyoosha maelezo vizur mkuu ueleweke
Haujaelewa nini hapo?alisoma kama albert bashite.Sijaelewa huna cheti cha form 4 ulisomaje diploma???
😀😀😀😀😀
Hujasomea tz sawa je huko ulikosoma ulianza one way diploma ina maana hakuna kindergarten, primary, high level
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ulivofoji ulitegemea nn?
Poa mkuuNenda na hicho ulichonacho mahakamani wakupe barua ya kwenda nayo nacte wakubadilishie wakupe cha Tanzania
Sent using Jamii Forums mobile app
Malipo bei gani mdau!Kama kilipotea nenda baraza watakupa cheti cha mbadala kwa malipo lkn
Sent using Jamii Forums mobile app