Msaada wa kupata Betri ya Simu aina ya T-Smart 4 G

Msaada wa kupata Betri ya Simu aina ya T-Smart 4 G

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2021
Posts
3,079
Reaction score
4,891
Nina simu aina ya T-Smart 4G niliyonunua Tigo Shop. Betri yake haifanyi kazi hivyo nimekuwa natafuta Betri bila Mafanikio Naomba msaada wa kujua kama kuna Sehemu kuna hizo Betri.

20210331_122302.jpg
 
izi simu battery zake ni vimeo, nina cases 2 jamaa battery zimezingua ndani ya mda mfupi, mimi pia ni mhanga

kiukweli spare yake huwezi pata,
 
Siku ya kwanza natumia baada ya saa kama mbili kupita nikaonywa kuwa "battery low" nilijua utani ila kumbe kweli, nilikubali matokeo kuwa hakuna simu pale.
 
Hiki kisimu changu kimeganda kwenye logo ya tigo ingawa bado kipya vinazingua.
 
Nenda kwa mafundi simu watakusetia betri tofauti na hiyo na utaenjoy tu.

Sent from my cupboard using mug
 
Hivi visimu tumepigwa ndugu zangu. Ni mambo ya ajabu tecno wametufanyia kwa kushirikiana na tigo.
 
Betri zimejaa zunguka madukani bei elf15 tu. mimi betri ya kwanza ilikaa mwaka 1 ikavimba nimeweka mpya safi.
Nina simu aina ya T-Smart 4G niliyonunua Tigo Shop. Betri yake haifanyi kazi hivyo nimekuwa natafuta Betri bila Mafanikio Naomba msaada wa kujua kama kuna Sehemu kuna hizo Betri.

View attachment 1739370
 
Back
Top Bottom