Msaada wa kupata bajaji ya mkopo(TVS King)

Nenda CRDB mkuu. Wana mikopo ya bajaji na bodaboda
 
Nilivoenda kwenye tawi lao sehemu ya masharti walionipa ni:
1 niwe dereva au mmiliki wa bodaboda /bajaj au niwe muajiriwa (serikalini au taasisi binafsi).
2. Uwe na uwezo wa kulipia 20% ya gharama ya chombo unachohitaji (mkopo watakupa 80% ya bei ya chombo hicho, wewe ulipie ile 20% inayobaki)
3. Bima ya chombo utakata kwao.
4. Mengine nimeyasahau.
Kama vipi tembelea kwenye tawi lao utapewa maelekezo zaidi.
 
Duh!!!!! Aya mi ndio yanayonishindaga aya
 
Waone NMB
 

Mkuu kawatembelee kwenye matawi yao watakupa maelekezo
 
Hata equity bank wanakopesha bajaji mkuu,pita bank tajwa ili upate taarifa sahihi.
 
Ku
Kua dereva kwa maana uwe na leseni sio..
Au kwa maana ipi mkuu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…