Msaada wa kupata AVN number kutoka NACTE

Parabora

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2019
Posts
1,504
Reaction score
2,221
kuna dogo namsaidia hapa lakini kila nikituma taarifa hazileti majibu, kwa wenye uzoefu wa elimu hizi za nyumbani kwa diploma nipeni msaada nimsaidie dogo
 
Chakufanya hapo nenda ofisini kwao kabisa utapata msaada wa haraka zaidi, chukua barua ya chuo ulichosoma pamoja na baadhi ya viambatanishi vya kukutambulisha uwahi mara moja maana hao jamaaa hawajibu mtu kwenye EMail wala kwa simu ,

Ila ukifika ofisini kwao nadhani utakuta wanapoga stories na kusoma magazeti kama upo kaskazini , makao makuu yao yapo Arusha , karibu na New Arusha hotel , jengo linaitwa MAFAO HOUSE GHOROFA YA 8
 
Pole sana, inabidi ujitahidi uende physically ofisini kwao ukawaeleze watasolve hilo tatizo haraka.
 


Ni bora akafika makao makuu ya NACTE -Dsm,Hawa watu walioko zone hawana msaada wowote zaidi watakwambia uende makao makuu!Mimi LAKE ZONE(MWANZA) nilisumbuana nao sana na hawakuwa na msaada wowote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…