Msaada wa kuondoa write protect kwenye flash

IDyangu

Member
Joined
Apr 24, 2014
Posts
99
Reaction score
22
Dada yangu ana flash yake, aina ya sony 2GB. Akitaka kusave fike kwenye flash anaambiwa flash imewekewa write protection labda aondoe hiyo write protection. Ila ana mafile yapo kwenye flash anaweza kuyafungua lakini hawezi kuyafuta. Je, inawezekana kuondoa hiyo write protection? Na kama uwezeko upo naomba kueleweshwa tafadhali nawasilisha!!
 
ina proceder drefu ila inabid utumie cmd ila google utazinona zipo kama tano hv
 
Kabla hujaformat
Angalia kweny hio flash upande wa pembeni.

Kuna flash zingine huwa na kitufe cha on/off.

Kama kipo kirufishe upande mwingine .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…