Jr Xavi Hernandez
Senior Member
- Feb 25, 2022
- 182
- 261
xax apo unatak kuanz upya ifunge account cku zikiish fungua ingineWakuu habari za humu ndani..
Nahitaji msaada kama kuna njia ya ku_unfriend watu 5000 wa fb kwa pamoja....msaada plz
Nielekeze jinsi ya kufunga acountxax apo unatak kuanz upya ifunge account cku zikiish fungua ingine
Watukanie mama zao uone. Dk 20 ni nyingi hutamuona hata mmoja [emoji16][emoji16]Wakuu habari za humu ndani..
Nahitaji msaada kama kuna njia ya ku_unfriend watu 5000 wa fb kwa pamoja....msaada plz
Sema Basi kkIpo Ila Ni very very complicated na ukizingua kidogo wanaiblock
Hujatoa solution.Bali umetoa taarifa tuNili unfriend zaid ya rafik 100 wakani block
Watukanie mama zao uone. Dk 20 ni nyingi hutamuona hata mmoja [emoji16][emoji16]
Nataka niwe na ziro friend.Nifanyeje?Every day Facebook brings you notification of people celebrating their birthdays. If you unfriend all of them each day, by 365 days you will be having zero friends