Msaada wa kuomba kazi TRA

Msaada wa kuomba kazi TRA

CHIEF JJ

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
1,075
Reaction score
357
habari wana jf

Nilikuwa naomba msaada kwa mtu aliyefanikisha kuomba kazi TRA maana kila nikiingia hazipo kwenye website yao kama kuna mtu anajuwa njia mbadala ya kuomba anisaidie

Tashukuru endapo tapat msaada
 
Maybe ni suala la mtandao. Ukiingia walipoandika "Vacancies" utaziona hzo kazi na vigezo vyake. Kwenye ku-apply ingia walipoandika "Job Application", hapo ndo mtandao unasumbua kiac flan, but usichoke, jarbu mara kwa mara, inachukua muda kufunguka. Hakuna alternative way, coz ni online application tu!!
 
asante tajaribu tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom