1. Run cmd
2. Type cd\ halafu enter
3. Type herufi ya hiyo drive kadri inavyoonekana kwny computer, mf E: kisha enter
4. Type attrib *. -h -s /s /d kisha enter
Type exit kisha enter
Ukirudi angalia utakuta folder zako zimerudi! Jilinde na virus kwa kutumia antivirus ya ukweli na kila siku iwe updated!