Msaada wa kununua router bora

Msaada wa kununua router bora

noweezy

Senior Member
Joined
Jan 9, 2016
Posts
103
Reaction score
93
Habar wanajamvi naombeni msaada wenu katika kujuwa ni aina gani ya router ni bora kwa matumiz ya kioffice naomba ushauri wenu
 
habar wanajamvi naombeni msaada wenu ktk kujuwa ni aina gani ya rooter ni bora kwa matumiz ya kioffice naomba ushaur wenu
Rooter=router

Sio mtaalam ila si inategemea ofisi ina ukubwa gan, kwa maana nimeona router zina uwezo wa 10 connections na nyngine hata zaidi ya 20 connections..
Labda ungewaambia waungwana juu ya ukubwa wa ofisi yako pia, nadhan ingesaidia zaidi
 
Tafuta router ya smile ipo poa sana then unlock inaingiza simcard zote,coz ni 4G,inaconnect device 32 kwa wireless na inaoption ya lan,speed yake ni 150mbps na huawei ipo poa sana mm natumia
 
Habar wanajamvi naombeni msaada wenu katika kujuwa ni aina gani ya router ni bora kwa matumiz ya kioffice naomba ushauri wenu
Tafuta TPLINK ni router nzzuri sana na ni dual band yan ni 802.11g/n up to 600mbs na kun zingine ni 802.11ac ingawa nadhan itakuwa ghali hii. Bt hiyo ya kwanza ndio muafaka sana unachomeka modem ya mtandao wowote unao fanya vizuri hapo ulipo na ina ina port za Ethernet kama 5 hiv ambazo unweza kutumia kam hub kwa pc ambazo hazina WI-FI jaribu hiyo.ina uwezo wa ku run had pc 100
 
Tafuta router ya smile ipo poa sana then unlock inaingiza simcard zote,coz ni 4G,inaconnect device 32 kwa wireless na inaoption ya lan,speed yake ni 150mbps na huawei ipo poa sana mm natumia
Mkuu umeweza Ku unlock hzi za smile?
 
Naweza laki zile kubwa za huawei
 
Tafuta TPLINK ni router nzzuri sana na ni dual band yan ni 802.11g/n up to 600mbs na kun zingine ni 802.11ac ingawa nadhan itakuwa ghali hii. Bt hiyo ya kwanza ndio muafaka sana unachomeka modem ya mtandao wowote unao fanya vizuri hapo ulipo na ina ina port za Ethernet kama 5 hiv ambazo unweza kutumia kam hub kwa pc ambazo hazina WI-FI jaribu hiyo.ina uwezo wa ku run had pc 100
HII NI NZURI, GHALAMA YAKE KIASI GANI?
 
this, natilia mkazo hii comment

kama kweli unataka kurun office yako kama pro hakikisha router yako wifi yake ni hio inayoishiwa na ac ambayo ina frequency zote 2.4ghz na 5ghz utapata wifi safi isiodisconect wala kushukashuka signal.

soma zaidi hii thread
Here's why you should use 5GHz WiFi instead of 2.4GHz - Pocketnow
 
Mkuu kuna Router nataka kuchukua D-Link DWR-921, sehemu itakayotumika ni ya ghorofa moja na wastani ya watumiaji ni kama 10, pia inatakiwa itumike na kwa nje umbali kama wa mita 50-80 Inauzwa 300,000. Vipi itafaa?
 
mkuu nimecheki reviews zake haiwezi fika huo umbali, achana na mita 50 hata mita 15 inasumbuka
 
Asante.
Unaweza kunisaidia kunipa options za router nyingine ambazo naweza nikazipata kirahisi hapa hapa TZ kwa vigezo hivyo.
 
angalia hapa mkuu
The 8 Best Routers With The Longest Range

kuna option nyingi sana hapo lakini pa kuzipata sifahamu, sana huku kwetu ni hivi vi mifi (router ndogo za simu) ambazo zina limit sana kwenye coverage.
 
Mkuu naomba kuliza router kama hii inafaa kwa kaz za internet
3bf92d4bb3867af1ebbc9327dd9cf9ca.jpg
 
Back
Top Bottom