spleeingiant
Senior Member
- Oct 24, 2016
- 138
- 45
Imejaribiwa kwenye laini ya Vodacom, Tigo, Airtel na Halotel yenyewe inafanya kazi. Angali video hapo chini. Inafanya kazi 100%
ya kwangu ni 4G mFi_0436F6 naweza unlock kwa style hii?
SSID:mFI_0436F6 Ni router Mpya za 4G ya HALOTELInatumia mtandao gani? Ni ZTE au Huawei? Weka na picha yake tafadhali MFI0436F6
SSID:mFI_0436F6 Ni router Mpya za 4G ya HALOTEL
ya kwangu ni 4G mFi_0436F6 naweza unlock kwa style hii?