Msaada wa kunitajia Series zinazofanana na Breaking bad au prison break

Msaada wangu kwa mtoa mada ni QUEEN OF THE SOUTH. utajfunza kutokuwa na adui wa kudum au rafik wa kudum. Utaelewa kanuni ya .."if you want peace start a war" utahitimisha na ukweli kuwa ukitaka kufanikiwa jiandae kufa!
Icheki SHOOTER, NO MAN'S LAND, hutajutia muda wako
 
Msaada wangu kwa mtoa mada ni QUEEN OF THE SOUTH. utajfunza kutokuwa na adui wa kudum au rafik wa kudum. Utaelewa kanuni ya .."if you want peace start a war" utahitimisha na ukweli kuwa ukitaka kufanikiwa jiandae kufa!
asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom