Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 8,996
- 6,922
Unaweza kumeza karibu milioni 25 ikamilike kabisa mpaka tilesHabari wakuu .
Nataka kuanza ujenzi ule wa mdogomdogo atleast by the end of the year niwe nimepaua na kuweka grill kwenye madirisha na mipango ya nje.
Ramani ina ukubwa wa m 15 x m 14 na ni nyumba ya vyumba 4,vyumba 2 ni self contained na vikolombwezo vyake vyote.
Uwanja ni tambarare na nataka kujengea tofari za kuchoma na mawe kwa msingi.
Sasa nishaurini niwe na kiasi gani kukamilisha hatua nilizozitaja hapo juu ,japo kiasi cha kuanzia kipo atleast ya kukamilisha msingi around 3mln.
Ramani ya nyumba kwenye picha inafanana kama hivi
View attachment 1714028View attachment 1714029View attachment 1714030
Ukiweka floor plan ya nyumba yako nakupa mahesabu ya msingi. Mimi siyo fundi Ila nina experience.Habari wakuu .
Nataka kuanza ujenzi ule wa mdogomdogo atleast by the end of the year niwe nimepaua na kuweka grill kwenye madirisha na mipango ya nje.
Ramani ina ukubwa wa m 15 x m 14 na ni nyumba ya vyumba 4,vyumba 2 ni self contained na vikolombwezo vyake vyote.
Uwanja ni tambarare na nataka kujengea tofari za kuchoma na mawe kwa msingi.
Sasa nishaurini niwe na kiasi gani kukamilisha hatua nilizozitaja hapo juu ,japo kiasi cha kuanzia kipo atleast ya kukamilisha msingi around 3mln.
Ramani ya nyumba kwenye picha inafanana kama hivi
View attachment 1714028View attachment 1714029View attachment 1714030
Nimeiweka hapo juu kwenye post yanguUkiweka floor plan ya nyumba yako nakupa mahesabu ya msingi. Mimi siyo fundi Ila nina experience.
Matofali ukiyalaza utahitaji 1800 kutegemea na depth of foundation.Nimeiweka hapo juu kwenye post yangu
Gharama ya msingi nyumba 14m kwa 15m ni 6 million?Matofali ukiyalaza utahitaji 1800 kutegemea na depth of foundation.
Blinding mifuko 5 ya cement, mchanga tani moja na kokoto tani moja na nusu.
Nondo 40 (12mm).
Ring beams 400.
Tie wire 3kg
Mbao 2X4 utahitaji 65, 2x2 at least 10.
Misumari kilo 3 (inchi 3 na 2.5).
Concrete ya beam (mkanda); Cement mifuko 25, mchanga Tani 2, kokoto tani 4.
Piga mahesabu ya uchimbaji, setting na kazi nyingine. Gharama ya msingi ni kama 5m to 6m.
Acha utotoUnaweza kumeza karibu milioni 25 ikamilike kabisa mpaka tiles
Hii ni gharama ya chooUnaweza kumeza karibu milioni 25 ikamilike kabisa mpaka tiles
YeahGharama ya msingi nyumba 14m kwa 15 m ni 6 million?
Thanks but, Nondo 40(12mm) na Ring beams 400 unamaanisha nini mkuu?Matofali ukiyalaza utahitaji 1800 kutegemea na depth of foundation.
Blinding mifuko 5 ya cement, mchanga tani moja na kokoto tani moja na nusu.
Nondo 40 (12mm).
Ring beams 400.
Tie wire 3kg
Mbao 2X4 utahitaji 65, 2x2 at least 10.
Misumari kilo 3 (inchi 3 na 2.5).
Concrete ya beam (mkanda); Cement mifuko 25, mchanga Tani 2, kokoto tani 4.
Piga mahesabu ya uchimbaji, setting na kazi nyingine. Gharama ya msingi ni kama 5m to 6m.
Hiyo nayo ni ndoto, 25milion mpaka tiles umalize,Unaweza kumeza karibu milioni 25 ikamilike kabisa mpaka tiles
Kuna vitu hapa juu siwezi kufanya ikiwemo blinding na nimesema nitajengea mawe msingi, mtoa ushauri hajazingatia maelezo yangu.Gharama ya msingi nyumba 14m kwa 15 m ni 6 million?
Michoro yote ninayosema nahitaji ushauri kwa wazoefu ambao tayari wameshajenga. Mambo ya QS huwa wanakuwa na estimates za juu sana na wana consider standards materials na kanuni za kwenye madaftari sasa hii sio rafiki kwa watu wa kawaida, ni proper kwa serikali na kwa wanaojenga maghorofa hukoMkuu tafuta professionals wanaitwa quantity surveyors, wanausoma mchoro wako nakukuaandalia makadirio yote unayoihitaji.
Ila Itabidi uongeze mchoro wa section na foundation plan.
Halafu mkuu ni ghorofa hilo, hata ingekua ya kawadia milioni 25 hamalizi hizo hatuaUnaweza kumeza karibu milioni 25 ikamilike kabisa mpaka tiles
Watamtia gharama za kutosha, ni heri akamate mafundi local ambao wameshajenga nyumba nyingi watakua na uzoefu wanaweza kumpa makadirio, sijui lakini kila mtu anavyoona ila kwangu nilifanya hivyo na iliniokorla gharama sanaMkuu tafuta professionals wanaitwa quantity surveyors, wanausoma mchoro wako nakukuaandalia makadirio yote unayoihitaji.
Ila Itabidi uongeze mchoro wa section na foundation plan.
Inategemea na utakavyojenga mkanda wako. Bado unaweza kuondoa mambo mengi na kusevu hela.Thanks in but,Nondo 40(12mm) na Ring beams 400,unamaanisha nini mkuu?
Acha dharau mkuuHii ni gharama ya choo