MSAADA WA KUJUA

MSAADA WA KUJUA

Kwa ufupi" ni ktendo cha kuit0a smu yako kifung0ni na kuifanya kuwa huru hasa kuupdate andr0id version, kuiflash n.k
 
Wakuu kwema humu? mimi pia ninashida nataka kudownload movie toka you tube na kuisave kwenye folder kwa matumizi nikiwa offline, naombeni msaada hapo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom