Msaada wa kujua uhalisia wa simu

cicatrix

Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
58
Reaction score
3
habari zenu wadau?'
je kuna yoyote anaejua "code" ambazo zinamsaidia mtu kujua kama simu ni original?
Mfano, Nokia {*#0000#}
Naomba msaada kwa zile simu nyingine, kwa anaejua...
 
habari zenu wadau?'
je kuna yoyote anaejua "code" ambazo zinamsaidia mtu kujua kama simu ni original?
Mfano, Nokia {*#0000#}
Naomba msaada kwa zile simu nyingine, kwa anaejua...
mkuu kuweka code kama hizo hazimaanishi kama simu ni original. hasa kwa sikku hizi. hao wanaotengeneza simu fake wanalijua hilo na wao wanafanya mtu akiweka hizo namba inakubali
 
*#0*# for android samsung smartphone..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…